Kama lilivyo jina lake,mwanadafada huyu leo aliamua kutoka na swag zake
kitofauti….kwa kuamua kuwafanyia surprise ya nguvu mashabiki wake kwa
kuwatembelea mitaani na kuwagawia zawadi kwenye hand bags zake na
product yake mpya ya manukato na audio cd
Kwa watoto midoli ya candy n candy,ilikua ni balaaa baada ya mtoto wa
kishua kutua pande za uswazz tandale,kwa mtogole na mwananyamala
kisiwani akishow love na masela, wakinamama na watoto
No comments:
Post a Comment