Msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva,Juma Nature akiwa amepozi na mwanadada Linah Sanga
Na mie kushoto kiaina tuu tukishoo love ndani ya jiji la Tanga
Mie,Mtangazaji
wa Clouds Fm kupitia kipindi cha XXL B Dozen na Mzaramo wa
Maneromango,Mr Misifa na mengineyo a.k.a Dullysykes tukiwa tumetulia tuu
ndani nje ya kiota tulichofikia mjini Tanga
Habari hii kwa hisani michuzi junior kwa zaidi bonyeza hapa
..............




No comments:
Post a Comment