DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Sunday, October 27, 2013

SUNDAY FLEVA LEO NDANI YA GENN RADIO


Uskose kutegea sikio kipindi chako cha SUNDAY FLEVA toka GENN RADIO leo saa nane mchana kwa saa za marekani ya kati ,saa mbili usiku kwa saa za uingereza na saa nne usiku kwa saa za afrika mashariki kusikiliza kutoka kwenye simu yako bonyeza hapa na kuangalia live bonyeza hapa:


Maombi ya nyimbo bonyeza hapa kisha niinbox unataka kusikiliza wimbo gani

ukikoooosa watakucheekaaaa!!!! 

No comments: