
Video
mpya ya ROMA ambayo wengi wanaisubiria imekuwa kama gumzo hivi kwa
picha zinazowekwa Instagram na Dir wa video hiyo ambaye anajulikana kwa
jina la NISHER. Kila mtu anazungumza hiki wengine wanazungumza yao
lakini video inatoka Ijumaa hii tarehe 1.11.13 so kaa tayari kwa kichupa
hiki kikali niamini mimi ni video nzuri sana hujawahi ona
No comments:
Post a Comment