Mahakama ya rufaa imekataa kusikiliza kesi ya Babu Seya na Papi Kocha na
kudai kwamba malalamiko yao hayana nguvu na kuladhimika washitakiwa
hawa kuendelea kutumikia kifungo chao cha awali.
Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004
baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi,
Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara
lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho
kusikilizwa.

No comments:
Post a Comment