DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, November 21, 2013

MABESTE KAJITOA KWENYE B’HITZ MUSIC GROUP























 

Dole singer Mabeste amejiondoa kwenye kundi la B’hitz music group na kusimama kama solo artist. Haijajulikana wazi kwa nini Mabeste amejitenga na kundi hilo la B’hitz.

Katika ukurasa wake wa Facebook Mabeste hajaelezea chanzo cha kwanini hayupo tena katika group hilo la BHITS.

No comments: