DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Monday, November 18, 2013

DIAMOND AMUONYESHA EMMANUEL ADEBAYOR JINSI YA KUCHEZA NGOLOLO

 

Wakati wa harusi ya Peter wa P Square ikiwa inaendelea, mwanamuziki Diamond Platinumz alipata nafasi ya kucheza ngololo mbele Emmanuel Adebayor huku wakionekana wa wanamshangilia kwa kumpigia makofi.

Kupita ukurasa wa Instagram wa diamond Platinumz aliandika maneno haya “I Had to show them how we do……… Last nyt out with ma Brother Emmanuel Adebayo @sea25 and Kukere Master @iyanya #Lagos #Nigeria” yakisindikizwa na hii picha


No comments: