DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Monday, November 18, 2013

MCHIZI MOX KURUDI KWENYE GAME LA BONGO FLAVA




 #HOTMIX (11:00 Jioni): MCHIZI MOX ARUDI UPYA KWENYE GAME!

Mchizi Mox arudi rasmi kwenye 'game' na leo atakuwa ndani ya Hotmix kufunguka mengi kuhusu kumbukumbu ya Marehemu Albert Mangwair!

Je, Kwa kutazama ngoma yake mpya ya “PIGA MAKOFI” unampa asilimia ngapi ya kutikisa anga la  Bongo Fleva?

Funguka hapa kwa maoni yako bila wivu wala upendeleo, pia tupia hapa maswali yako atayajibu LIVE.

Mchizi Mox amepanga kurudi tena kwenye game la bongo flava. Kupitia ukurusa wa facebook wa EATV wanasema kwamba Mchizi Mox arudi rasmi kwenye ‘game’ na leo atakuwa ndani ya Hotmix kufunguka mengi kuhusu kumbukumbu ya Marehemu Albert Mangwair!


No comments: