DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Friday, November 15, 2013

Director Aliyeongoza Video Ya Alingo Na Personally, Kuongoza Na My #1 Remix Ya Diamond ?


 diamond
Kama ulikua hufahamu basi video ya wimbo wa Alingo na Personally wa P-Square ziliongozwa na director Clarence Peters. Na katika siku hizi mbili msanii mahiri wa Bongo Fleva maarufu kama Diamond amekua katika maandalizi ya kuachia kioo (Video) kipya cha wimbo My #1 Remix ambao amemshirikisha mkali wa Skelewu kutoka Nigeria, Davido.
Ikiwa ni masaa matatu tu tangu yapite, msanii Diamond amepost picha akiwa nchini Nigeria katika mtandao wa Instagram akikutana na Director Clarence Peters, na kutokana na msanii huyu kuwa mbioni kutoa kioo hicho kipya cha  My #1 Remix, basi bila shaka kunauwezekano mkubwa sana kuwa Director Clarence Peters anafanya kazi na msanii Diamond katika video hiyo mpya.

No comments: