
Rest Of My Life’ ni moja
ya ngoma ambayo inafanya vizuri sana kwenye chati mbalimbali za muziki
hapa Tanzania na nje pia, ambayo imeachiwa siku za karibuni tu na
kufanyiwa video iliyoifanya ngoma hiyo kung’aa zaidi … Hemed PHD,
hajaishia hapo, sababu kwa sasa anatarajia kuachia ngoma nyingine kali
zaidi ambayo itakwenda kwa jina la “One And Only” ambayo atamshirikisha msanii mwingine mzuri ‘Bellacombo’.
Mashabiki wa Hemed PHD wategemee ujio wa video ya wimbo huo mpya atakao uachia mwezi huu tarehe 22, kuwa video yake itatoka rasmi tarehe za mwanzo wa December na itazinduliwa katika show kubwa ambayo atifanya kwa ajili ya kuenzi safari yake ya muziki tangu alipoanza mpaka alipofikia sasa.
Kama hukupata nafasi, Tazama REST OF MY LIFE video hapa …
No comments:
Post a Comment