DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Tuesday, November 12, 2013

HENRY B ~ KANYAGA TWENDE (NEW SONG)


Kanyagatwende ni nyimbo yenye maadhi ya kiafrica yaani ni mchanganyiko wa bongo flavors kama style na kiasi kidogo mchanganyiko wa nyimbo za Africa magharibi. Nyimbo inahusu shida ya usafiri wa mabasi(Daladala) mahususi katika jiji la Dar es Salaam.

Ilitokea kupata wazo la kuandika nyimbo hii baada ya mimi mwenyewe kua na shuhudia ugumu wa hali ya juu wa usafiri katika jiji la Dar es Salaam.
Nashkuru sana.

No comments: