YOUNG KILLER AMEANZA KUFANYA VIDEO YA “Mrs SUPERSTAR”.
Kijana mdogo anayechipukia kwa kasi kwenye mziki wa bongo flava, Young
Killer ameanza kushoot video ya “mrs superstar”. Haijajulikana kama
Young Killer atawatufuta mastaa wote aliowataja kwenye huu wimbo na
kushoot nao video au atawapotezea?
No comments:
Post a Comment