DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Tuesday, November 19, 2013

Kaa Tayari Kwa Ujio Mwingine Wa Ney Wa Mitego …

ney wa 
 Mkali wa michano nchini Tanzania anayetamba na ngoma “Salam Zao”, Ney Wa Mitego  siku ya Jumatano ya tarehe 20/11/2013 anaachia ngoma mpya iitwayo “Nakula Ujana”.
Ngoma hiyo mpya anayotarajia kuiachia rapper Nay Wa Mitego, imefanyikia katika studio kali ya Master Jay Records (MJ Records) chini ya producer Marco Chali na producer Mr.T Touch, usikose kusikia ngoma hiyo mpya ambayo utaipata hapa hapa.

No comments: