Redsan kutoka Kenya, anatarajia kushiriki katika tamasha lingine kubwa
katika historia ya muziki wake, tamasha lililopatiwa jina High Impact A2
Festival ambalo litafanyika huko Dubai mwezi wa 12 tarehe 26.
Tamasha hili litahusisha wasanii Fally Ipupa wa Congo, Mr Vegas kutoka Jamaica, Lira na Mafikizolo kutoka Afrika Kusini, Kundi la Eraser Heads kutoka Ufilipino na wakali wengine kibao ambao ni gumzo kwa sasa duniani kimuziki.
Redsan ambaye jina lake halisi ni Swabri Mohammed kwa sasa anajipanga na mashambulizi katika jukwaa ndani ya tamasha hili kubwa.

No comments:
Post a Comment