Mkali wa Hip Hop Tanzania Kala Jeremiah baada ya ‘Jaribu Kujiuuliza’
kufanya poa katika Redio Station za hapa Bongo, sasa anategemea kushusha
ngoma mpya tarehe 20 wiki ijayo inayokwenda kwa jina la ‘Walewale’
aliyemshirikisha Neylee, itatoka Audio pamoja na Video. Stay
tuned…!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment