DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, November 28, 2013

MWAKA UMEPITA TANGU SHARO MILIONEA ATUTOKE DUNIANI, WANANCHI WATEMBELEA KABURI LAKE


 
Ni mwaka mmoja umepita tangu marehemu Sharo Milionea alipopeteza maisha kufwatia ajali mbaya ya gari. Wananchi wengi wamejitokeza kwenye kaburi la Sharo Milionea na kulifanyia usafi kaburi hilo.

 Mama Mzazi wa Sharo Milionea huwa anasema “anaumia sana anapomkumbuka mwanae, ni taarifa za ghafla alizipata usiku wa siku ya tukio akiwa amelala ambapo kwa asilimia zote alikua anamtegemea Sharo Milionea kumsaidia kimaisha”.
Rest In Peace Sharo Milionea…….

No comments: