
Baada ya kutamba na wimbo wa majanga na nimevurugwa, msaani Snura anakuja na wimbo mpya utakaoitwa “Ushaharibu”. Wimbo huu utakuwa ni nimuendelezo wa nimevurugwa.
Haijajulikana kama Snura atashirikiana na msani yoyote katika kufanikisha uandaaji wa “ushaaribu”.
No comments:
Post a Comment