Finally ile ngoma
iliyomgharimu mwanamuziki Diamond Platnumz mamilioni ya shilingi za
kitanzania, imafanikiwa kuvuka boda ya Tanzania na kuanzia sasa video
hiyo utaweza kuishuhudia kupitia station mbali mbali za nje za burudani.
Video hiyo ambayo imekuwa
ikifanya vyema sana katika vituo vya nyumbani Tanzania na kupendwa na
watu wengi ni video ambayo kwa kweli imefanyika katika hadhi za juu na
pia inavutia sana kuitizama.
Kama hujapata time ya kutazama kichupa hicho, hiki hapa..My Numbe One
No comments:
Post a Comment