Peter Msechu alimpiga madongo Nay Wa Mitego Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram kutokana na kutofagilia style mpya aliyoamua kuitumia Nay katika wimbo wake Mpya uitwao Nakula Ujana ambao umetoka siku ya Jumatano ya tarehe 21 November.
Katika akaunti ya Instagram, Peter Msechu alimponda msanii huyo kwa kuandika “Unakula ujana au ujana unakukula wewe???? Utaimba hadi bolingo mwaka huuuuu….. kweli hiphop aiuziiiiii …… bado kidogo utakuwa dancer wangu MSECHU BAND….. GUYS GET READY TODAY JAMAAA ANAACHIA MDUARA @naytrueboy” .

No comments:
Post a Comment