Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kutoa ngoma huku akijihusisha
na maswala ya Video Production, msanii mkongwe wa Bongo fleva Mike Tee
ameachia ngoma mpya.
Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la ‘Unanitenga sana’ kashirikishwa Soprano na upande wa production yake kasimama producer Mbezi.
Enjoy Da Good Music…!!
No comments:
Post a Comment