Sikiliza ngoma mpya iitwayo ‘Sweet Like Suga’, ikiwa ni soundtrack kutoka kwenye Series ya Shuga Season ya 3 ambayo episode yake ya kwanza imeachiwa tarehe 15 mwezi huu na series hiyo itakuwa ikionyeshwa katika television ya bururdani ya kimataifa ya MTV Base Africa. Wimbo huu umeimbwa na Flavour, Kcee, Chidinma, Sound Sultan & Professor …
No comments:
Post a Comment