Ladha nzuri kwenye
tasnia ya muziki wa Bongo flava zinaendelea kuongezeka… C – low
aliyetamba na ngoma yake ya kwanza, “Side B” , sasa anakuja na hii
nyingine inayokwenda kwa jina la
“Any Time” ambayo amemshirikisha mkali wa RnB,
Ben Pol,
anayetamba na vibao kadhaa kama Wa Ubani aliyoshirikiana na mwanadada
Alice, Jikubali na nyinginezo lukuki kwenye chati za muziki.
Its a Brand New Single… Bila shaka utaipenda. Isikilize hapa
No comments:
Post a Comment