
Finally, as promised
Vanessa has made it again… Baada ya “Closer” ambacho bado kinabamba
Afrika Mashariki, hii hapa mpya nyingine inayokwenda kwa jina la “Come Closer“…
Uzinduzi rasmi wa ngoma hii umefanyika mda mchache uliopita, sasa ni
zamu yako wewe shabiki na mpenzi wa track nzuri za mwanadada, Vanessa
Mdee kuiskiliza….Nahreel ndiye amesimamia utengenezaji wa ngoma hii !
Enjoy..
No comments:
Post a Comment