
Director NISHER from NISHER ENTERTAINMENT (ARUSHA) ameendelea kufanya vizuri sana kwenye tasnia ya music especially upande wa music videos kwa kutengeneza videos kali kwa wasanii wa Tanzania … Hvi karibuni, Nisher ametoka kuachia video ya rapper ROMA MKATOLIKI inayofahamika kama 2030 …
Sasa basi, baada ya hiyo, Nisher kwa sasa yuko jikoni kutengeneza/kumalizia matengenezo ya msanii mwingine ambae ni JORDAN DA PRINCE au JORDAN… Nisher aliyasema hayo from his facebook account wakati akijibu swali la mmoja wa fans wake …
JORDAN ni msanii aliyekuwa chini ya label ya The Late Albert Mangwea, na yeye ndio video yake inafuata kutoka kwa Nisher. Stay close, ikitoka tu utaipata hapa hapa …
No comments:
Post a Comment