DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Tuesday, November 26, 2013

P SQUARE WAKIPAFOMU LEADERS CLUB (VIDEO).

P Square walipiga show kali leaders club huku wakisindikizwa na wasanii wakali kutoka Bongo kama Prof Jay, Lady Jay Dee, Ben Pol bila kumsahau Joh Makini. Hizi ni baadhi ya video zikionyesha jinsi wakali hawa kutoka Nigeria walivyowapagawisha mashabiki.


No comments: