
P Square tayari washawasili Bongo Dar -Es -Salaam na siku ya kesho watatoa burudani kali kwa mashabiki huku wakisindikizwa na wasanii wakali kutoka bongo kama Lady Jay Dee, Prof Jay, Joh Makini pamoja na Ben Pol.
Kupitia ukurasa wa twitter wa EATV wamewahakikishia mashabiki wote watakao fika pale kwenye viwanja vya leaders tarehe 23 (kesho) kwamba P Square watafanya show kwa muda wa masaa mawili.
No comments:
Post a Comment