Mchezaji mpira maarufu wa timu ya Taifa Mrisho Ngasa amenaswa live akiwa
na mwimbaji wa majanga “Snura Anton Mushi”. Bado haijajulikana wazi
kama mastaa hao wawili wanauhusiano wa kimapenzi au labda wanaigiza
movie pamoja?
Mastaa hao wawili walinaswa live wakiwa kwenye nyumba ya Snura Anton Mushi iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Mastaa hao wawili walinaswa live wakiwa kwenye nyumba ya Snura Anton Mushi iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment