Katika kuonyesha jamii uwezo wa ziada walionao katika michano, Rapa
Wakazi amekuwa sehemu ya mchongo unaofahamika kama Super MC ambao una
lengo la kukutanisha wasanii wa Hip Hop wenye uwezo wa kughani mashairi
yao katika lugha mbili tofauti na kwa ufasaha kutoka sehemu mbalimbali
duniani.
Mpango huu ambao umefanyika kwa mara yake ya pili sasa, umehusisha mtayarishaji muziki Teck Zilla kutoka Nigeria, Super MC V2, De La Ceiba kutoka Marekani, Five Steez wa Jamaica, Mr. Riz na Emile YX wa Afrika Kusini na wengineo wengi.
Katika mpango huu, Wakazi ama The Bilingual Beast kama anavyopenda kujiita ameweza kuonyesha uwezo wake na kuiwakilisha vizuri Tanzania katika anga ya kimataifa.
Wakazi kwa sasa anafanya poa hapa katika chati mbalimbali kupitia video yake mpya ya Touch ambayo ameomba mashabiki waendelea kuipa sapoti iendelee kufanya vizuri na kufika mbali zaidi.

No comments:
Post a Comment