DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Sunday, November 17, 2013

USIKOSE SUNDAY FLEVA LEO...NDANI YA GENN RADIO


Uskose kutegea sikio kipindi chako cha SUNDAY FLEVA toka GENN RADIO leo saa nane mchana kwa saa za marekani ya kati ,saa Tatu usiku kwa saa za uingereza na saa Tano usiku kwa saa za afrika mashariki kusikiliza kutoka kwenye simu yako bonyeza hapa na kuangalia live bonyeza hapa:
Maombi ya nyimbo bonyeza hapa kisha niinbox nambie unataka kusikiliza wimbo gani leo
ukikoooosa watakucheekaaaa!!!! 


No comments: