
Baada ya kufanya poa na ngoma yake ya Closer iliyofanyika B’Hitz chini ya prodyuza Pancho Latino, Vanessa Mdee a.k.a V-Money anatarajia kuachia singo yake mpya siku ya kesho.
Ngoma hiyo yenye mahadhi ya Afro-Pop ambayo imembadilisha kabisa Vanessa na kurudi kwenye asili ya Kiafrica zaidi kimapigo yake imefanyika chini ya prodyuza ambaye pia ni mwanamuziki anayeunda kundi la Navy Kenzo, Emmanuel Mkono a.k.a Nahreal.
Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la ‘Come Over’ na Vanessa katembea mwanzo mwisho mwenyewe bila kumshirikisha mtu yeyote. STAY TUNED…!!
No comments:
Post a Comment