Hatimaye Wakazi ameachia video yake mpya “Touch”. Wakazi alipata nafasi
ya kuperform wimbo huu kwenye Big Brother The Chase 2013 mwezi Julai.
Video hii imetengenezwa pande za Johannesburg, SA by Planet Images,
and directed by Turas & Malonda. The song was produced by Clinton X
(South Africa) with additional productions by Lucci (Tanzania).
No comments:
Post a Comment