DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Tuesday, November 5, 2013

MACHAPTA INC YAANZA KUSHOOT VIDEO YA CHISMO


 


Machapta Inc yaanza kushout video ya Chismo inayoitwa Chuchuchu! Audio yake imetengenezwa chini ya muandaaji wa Bongo flevar Mesen Selector………. na hii video inafanywa na kampuni ya Xtreem Videoz Directors Geofrey na Johzey. Leo video hii inaendelea kwenye hatua ya pili mjini Posta Dar es salaam

No comments: