
Wasanii wengi wa Bongo wameanza kufunguka macho kwa kufanya kazi na wasanii wa nje ya Tanzania… Ally Kiba ambaye alikuwa kimya kwa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya sasa yupo studio na mkali Red San wakiandaa singo kwa pamoja.
Ally Kiba alipost picha kama inavyoonekana hapo chini na kuandika maneno haya “Am cooking for u my everything (fans) I lov u the same that u do thanx”
No comments:
Post a Comment