Msanii Seun Kuti, mtoto wa mkongwe wa musiki Afrika Fela Anikulapo Kuti
amefanikiwa kupata mtoto wa kike mwenye afya bora baada ya mpenzi wake
Yetunde Ademuluyi kujifungua hivi karibuni.
Seun Kuti ameamua kushirikiana na mashabiki wake furaha kubwa aliyonayo kwa kupata mtoto huyu, kwa kuweka picha yake katika mtandao.
Bado msanii huyu ajatangaza jina rasmi la mtoto wake huyu mpya ambaye ameongeza furaha katika familia yake.

No comments:
Post a Comment