Sikiliza ngoma mpya
kutoka kwa rapper Azma iitwayo Inusuru Tanzania …” wimbo huu ni zawadi
kwa Watanzania/Wana Afrika mashariki wote wanaopenda maendeleo ya nchi
yetu,ni wimbo ambao nimeuandika nikimuomba mungu ainusuru nchi yetu na
baadhi ya mambo ambayo hayako sawa.Nimeuandaa kwa ajili ya kuaga mwaka
2013 na kukaribisha mwaka 2014.” Hayo ndiyo maneno aliyotoa rapper huyo …
Baada ya kuachia ngoma hii mpya.
No comments:
Post a Comment