Msanii na mtayarishaji mkali wa muziki kutoka Nigeria, Don Jazzy
ameonyesha moyo wa kipekee hasa baada ya kutoa kiasi fedha cha Naira
200,000 ambazo ni zaidi ya shilingi 1,900,000 za kitanzania kwa
mashabiki wake ambao wameonyesha mapenzi ya kweli kwake kupitia mtandao
wa twitter.
Mashabiki hawa ambao kila mmoja amejipatia kitita cha Naira 100,000 wamekutana na bahati hii baada ya kuulizwa wangechagua kipi kati ya pesa ama kupata nafasi ya kukutana na Don Jazzy, ambapo asilimia kubwa ya walijibu swali hili walichagua pesa.
Don amesema kuwa, fundisho la pekee kutoka katika tukio hili ni kuwa, sio kila wakati pesa ndio kila kitu bali mahusiano mazuri yanaweza kukufikisha mbali.

No comments:
Post a Comment