Siku ya tarehe kama ya leo, ndio siku ambayo mkali wa freestyle na miondoko ya Hip Hop
Tanzania, rapper Godzilla AKA Golden Kingzilla amezaliwa… Rapper huyu
ametimiza rasmi miaka 26. Pia msanii huyu mahiri anatarajia kuachia kazi
zake mpya mwezi huu, kwa hiyo all of his Fans wakae tayari kuanzia sasa
kwa ujio wa track mpya kutoka kwa Kingzilla.
No comments:
Post a Comment