Msanii Michael Ross wa nchini Uganda, ameweza kuwa na mchango mkubwa kwa
taasisi ya Vision Group pamoja na mkakati wa Twaweza wenye lengo la
kutambua mchango wa wasanii katika kutengeneza nyimbo zenye mafundisho
makubwa kwa jamii.
Kupitia mkakati huu, Michael ameweza kuhusisha wimbo wake unaokwenda kwa jina Twefeeko ukiwa unabeba ujumbe mzito kwa jamii kujilinda hususan katika maswala ya matumizi ya maji safi na kujali afya.
Katika mpango huu ambao umetajwa kuwa utakuwa ni endelevu, Michael Ross ameweza pia kufanya kazi sambamba na msanii Rema Namakula kati ya wengine ambao wamefurahia sana nafasi hii ya kutumia vipaji vyao kuelimisha jamii inayowazunguka.

No comments:
Post a Comment