Ukiwa kama shabiki wa kazi ambazo anazifanya mkali huyu kutoka Kenya, Jaguar basi sina shaka kwamba utafurahi ujio huu mwingine kwa mkali huyu anayeendelea kutamba na ngoma yake, “Kipepeo” . Kioo, ni video mpya, kali ambayo Jaguar amefungua nayo mwaka 2014…
Utengenezwaji wa kazi hii umefanywa na
Main Switch Production toka Kenya, ambapo msanii huyu ameifanyia kwenye mazingira ya gerezani, kwenye magereza ya wafungwa ya Industrial Prison Nairobi.

No comments:
Post a Comment