DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, January 30, 2014

Misosi aibuka kwa kishindo

 
Staa wa muziki wa hapa Bongo Bwana Misosi ameamua kuwaleta pamoja wasanii Mataluma, Beka Tittle pamoja na Maina katika kazi yake ya kwanza ya kufungulia mwaka ambayo inakwenda kwa jila Happy Day.

Misosi kupitia mahojiano yake na eNewz amesema kuwa ameamua kubadilika kwa kiasi kikubwa na kuwaletea mashabiki wake muziki ule wanaoupenda zaidi tofauti na alivyokuwa amezoeleka.

Misosi ameongeza kuwa, Happy Day ni ngoma ambayo pia kwa mara ya kwanza kabisa ameshirikisha ndani yake wasanii watatu na kila mmoja akiwa na ladha yake tofauti kwaajili ya kuleta ladha ambayo ni mpya katika enzi mpya ya muziki wa kizazi kipya.

No comments: