
Ikiwa imesubiriwa kwa hamu, video ya wimbo wa msanii Gosby, Baby Making Swag “BMS”, inatarajiwa kutoka siku ya kesho, Ijumaa ya tarehe31. Utengenezwaji wa video hii umefanywa na kuongozwa na E Media, na mdundo huu ukiwa umetengenezwa na studio za BHitz. Hizi ni baadhi ya picha kuonyesha jinsi video itakavyokuwa






No comments:
Post a Comment