DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, January 29, 2014

[New Audio] Songa & Duke – Enzi Za Utoto

story 
Wakiwa wanaendelea na mfululizo wa zile ngoma kali zilizopo kwenye project ya Story Telling, Songa na Duke wameachia mdundo mwingine unaokwenda kwa jina “Enzi Za Utoto”. Ni kazi nzuri toka kwa ma rapper hawa. Hii hapa

No comments: