
ufanya
kazi kwa bidii na kwa kujituma kwenye kile ukipendacho kwa upande mmoja
au mwingine ndiyo siri kubwa ya mafanikio…Tasnia ya Muziki wa Tanzania
inaendelea kufanya vizuri, na hii inathibitishwa na wasanii wanaojituma
na kupenda kila wafanyacho kuendelea kufanya vizuri. Mzee wa Commercial,
Ambwene Yessaya mostly known as AY yupo jikoni ambapo anapika ngoma yake mpya itakayofahamika kama “Ahsante” ambapo anatarajia kuiachia mwisho wa mwezi huu.
Bila shaka mdundo huu utafanya vyema hasa pale kiu ya kuuskia toka
kwa wapenzi na mashabiki wa AY inapoongezeka He always does his very
best
No comments:
Post a Comment