Unakumbuka ile classic kutoka kwa msanii Juma Nature ya wimbo uitwao Hili Game miaka ya nyuma!?… Basi msanii huyu mkongwe kwenye game aufanyia wimbo huo video yake huko nchini South Africa chini ya Da’ Face International Project. Tazama hapa video ya ngoma hiyo hapa …
No comments:
Post a Comment