Mkali toka
Tanzania House Of Talents (THT),
Amini ambaye
amewahi kutamba ni vibao kama “Ndiyo Unikimbie” na “Ni Wewe”,
amefungua mwaka mpya 2014, kwa kuachia mdundo wake mpya unaokwenda kwa
jina la
“November or December” ambayo imefanya chini prodyuza
C9 toka C9 Records .
Ngoma hii ina mahadhi mazuri ambapo Amini anatamani kufahamu ni lini mpenzi wake atarejea kushusha presha ya mapenzi ambayo
ipo, Je ni November ama Decemeber? Hii hapa isikilize..
No comments:
Post a Comment