Pengine ule msemo wa
wahenga, usemao Kimya kingi huja na kishindo kikubwa ndicho kinachotokea
kwa msanii Mez B aliyetamba na ngoma iitwayo “Kama Vipi” aliyomshirikisha Ray C mwaka 2008. Ni kimya kirefu tangu asikike kwenye tasnia ya muziki.
Ameachia video yake inayokwenda kwa jina “Shemeji”
No comments:
Post a Comment