apa Kala Jeremiah, anatarajiwa kutoka kivingine safari hii akiwa na
bendi, ambapo kwa kushirikiana na B Band wanatarajia kuwapatia mashabiki
zawadi ya kazi yao ambayo inakwenda kwa jina You Are Not Alone.
Mkali huyu wa Hip Hop ambaye tayari ameonyesha uwezo mkubwa wa kubadilika katika muziki anaoufanya, ameongea na eNewz na kusema kuwa, amefurahi sana kutambulika uwezo wake na wasanii wa sikunyingi katika tasnia ya muziki ambao pia wamempatia nafasi ya kufanya kazi na Beni Live akiwa kama rapa wa hip Hop.
Kala amesema kuwa, tarehe 14 mwei huu ambapo ndipo kazi hii itazinduliwa rasmi jijini Dar, itaandikwa historia mpya ya yeye kufanya onyesho la kwanza akiwa na Bendi, na hivyo ameewataka mashabiki kungojea tukio hili la kihistoria kwa hamu.

No comments:
Post a Comment