Msanii mkali wa
Hip Hop
nchini Tanzania anayeliwakilsiha vizuri kundi la Weusi katika game ya
Hip Hop hapa nchini, rapper Nick Wa Pili… anataka kuona mtazamao mpya
katika sanaa ya music, haswa katika upande wa live show perfomance
wakati msanii anapo panda jukwaani na kutoa burudani ya ukweli bila
kutumia wimbo wake ambao unaimba kwa nyuma na yeye anaufuatisha maarufu
kama backrgound plays au playbacks.
Msanii huyu kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter,
alipost maneno yaliyo onyesha kuwa msanii huyu amechoshwa na kukerwa na
style hiyo ya
playback ambayo
wasanii wetu wa hapa wengi hupenda kuitumia. “Hope 2014 ntaona live show
bongo..2013…80% ya artist were on playback..wak staff.” Hayo ndiyo
maneno aliyoyatoa msanii huyu wa Hip Hop nchini.
No comments:
Post a Comment