DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, January 29, 2014

OMMY DIMPOZ -~ MISS KOI KOI



Isikilize hapa ngoma kutoka kwa Ommy Dimpoz iitwayo ‘Miss Koi Koi’ iliyorekodiwa ndani ya studio za AM Records chini ya muandaaji Manecky ambayo kwa mara ya kwanza inamfanya Ommy alaumu kuwa imevujishwa mtandaoni bila kuiachia rasmi.

Isikilize hapa…

No comments: