
Producer DUPPY kutoka Studio za UPRICE MUSIC amepata ajali akiwa
chumbani kwake amelala baada ya gari kugonga studio ya Uprise Music na
chumba cha producer huyo anayefanya vema katika gemu la muziki.
Katika kumjulia hali Producer DUPPY alikuwa na haya ya kusema “Shukrani sana mzee ni maumivu tu ya kichwa na mkono kwa mbali”.
Naye mmoja wa wasanii waliopo lebel katika studio hiyo LEO MYSTERIO, Je,
anaizungumziaje ajali hiyo? “Tushapoa kaka vifaa vichache vimeharibika
bado kufanya tathmini vizuri”


No comments:
Post a Comment